China imetoa filamu mpya kuhusu maandalizi ya jeshi ya kuivamia Taiwan. Filamu hiyo inawaonesha wanajeshi wakiahidi kujitolea uhai wao ikiwa watahitajika kufanya hivyo, wakati Beijing ikiendelea ...
Katika kipindi cha Karibuni kwa juma hili, utasikia Sadiki Ukipenda yenye kuhusu mila za kufukua makaburi huko Kilimanjaro Tanzania pamoja na filamu mpya ya Kitanzania "Lost and Found." inayotamba ...