WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na mpango wa shule bora wanatarajia kuendesha utafiti wa ...
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Abdulkadri Moshi, Mkuu wa mkoa Kigoma, ...
"Huu ni utamaduni wetu kigoma , ukitafuta shuka za kufuma utazipata kigoma, Wanawake wa mkoa huu ni karibu wote wanajua kufuma mashuka haya na jambo muhimu kwao si kujipatia kipato tu bali ni ...
Kigoma. Mahakama ya Wilaya Kigoma imehalalisha uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa minne katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kutupilia mbali mashauri ya kupinga uchaguzi ...
POLISI Mkoa wa Morogoro, inamsaka dereva basi la abiria lenye namba za usajili T975 CSB aina ya Yutong mali ya kampuni ya Kasulu Express, lilolokuwa linatokea mkoa wa Kigoma kwenda Dar es Salaam baada ...
Treni ya kubeba abiria iliyokuwa safarini kutoka Dodoma kwenda Kigoma kupitia Tabora imepata ajali katika eneo la kijiji cha Mpeta, wilayani Uvinza kaskazini magharibi mwa Tanzania, taarifa zinasema.
“Siti hazikuwa katika ubora, idadi ya abiria ilikuwa kubwa kuzidi uwezo wa siti. Migogoro ikawa mingi. Tunaanza safari ...