“Kwa mwezi ili kutunza punda wangu, hunigharimu kati ya shilingi 6,000 (dola 60) na shilling 7,000 (dola 70). Ni ghali kweli lakini…Mahaba… Yamependa hapo ...
Shirika moja linalohusika na maslahi ya wanyama nchini Kenya, linasema bei ya Punda imepanda mara dufu nchini humo kwa sababu ya nyama ya mnyama huyo kuongezeka hasa katika taifa la china taifa ...