Mavumba Hussein wameushukuru uongozi wa MNH kuwapa elimu hiyo na kusema watakua mabalozi wazuri sehemu zao za kazi na jamii inayowazunguka. Kauli mbinu ya mwaka huu ni ‘JE FIGO YAKO IKO SALAMA?
"Tunaamini kuwa kupitia fedha hizi,mtaongeza vipato vyenu na mtakuwa mabalozi wazuri wa utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa mikoko, utunzaji fukwe na uvuvi salama, pia tunaamini kuwa mtakuwa ...