Aliongeza kwamba, “Tumejitolea kusonga mbele kuelekea siku za baadaye wanazostahili watu wetu wazuri.” ...
Mkifanya hivyo, mjitahadhari, kwa sababu Marekani itawajibisha kikamilifu na hatutakuwa wazuri kwa suala hilo! ", Donald Trump pia ameandika katika ujumbe wake. Mji mkuu wa Sanaa umekumbwa na ...
Baadhi ya wachezaji wa Manchester United "sio wazuri" na "wanalipwa pesa nyingi", mmiliki mwenza wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe amesema. Kiungo wa kati Casemiro, mshambuliaji Rasmus Hojlund ...
“Najua wafanyabiashara wa asili ya Urusi ambao ni watu wazuri. Ingawa hawana utajiri kama walivyokuwa zamani, wanaweza kulipa dola milioni 5.” Mtu mmoja alimuuliza Trump kama kadi hiyo inaweza ...
Mavumba Hussein wameushukuru uongozi wa MNH kuwapa elimu hiyo na kusema watakua mabalozi wazuri sehemu zao za kazi na jamii inayowazunguka. Kauli mbinu ya mwaka huu ni ‘JE FIGO YAKO IKO SALAMA?
"Tunaamini kuwa kupitia fedha hizi,mtaongeza vipato vyenu na mtakuwa mabalozi wazuri wa utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa mikoko, utunzaji fukwe na uvuvi salama, pia tunaamini kuwa mtakuwa ...
Haishangazi, nadhani wanastahili. Ni wazuri sana, wapo kwenye viwango vizuri kwa muda mrefu na wana silaha hatari wanapocheza.” Man City ilipoteza nafasi ya kupanda kwenye nafasi ya tatu kwenye ...
Akizungumza na Mwanaspoti, Taoussi alisema Azam tayari ina wachezaji wazuri vijana lakini wanahitajika kuchanganyika na waliokomaa na wenye ubora zaidi. Alisema kikosi walichonacho sasa wapo wachezaji ...
Joseph Kabasele alizaliwa Matadi nchini Kongo Desemba 16, 1930. Familia yake ilikuwa ya washiriki wazuri wa Kanisa Katoliki, kaka yake mkubwa alifikia hata kuwa Kadinali katika kanisa hilo. Joseph ...
Aliwapongeza wananchi wa Lushoto kwa kuwa watunzaji wazuri wa mazingira na kwamba hata uvutaji wa hewa Lushoto ni mrahisi kutokana na mazingira mazuri na kuwataka wawafundishe wengine ili waige mfano ...