News
Takriban makardinali 60 wamekusanyika asubuhi ya leo Aprili 22, 2025 kuapa kwa katiba kuhusu nafasi iliyoachwa wazi na ...
Kulingana na Golugwa wakati anakamatwa maeneo ya Mkunguni, alipakizwa kwenye gari lakini walipokaribia maeneo ya Polisi ...
"Asante kwa kunirudisha kwenye uwanja." Ni miongoni mwa maneno ya mwisho ya Papa Francis aliyoyatoa kwa ambao katika wakati ...
Upungufu wa madawati katika shule za msingi umezua mjadala bungeni baada ya wabunge kuibua vilio wakisema ni aibu Taifa ...
Licha ya kuzuiwa kufanya biashara ndani ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (Udart), wafanyabiashara ndogondogo maarufu ...
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga (kushoto) akimkabidhi askari magereza mstaafu Christina Mjema (90) mafao yake ya nauli ...
Heche alichukuliwa na wafuasi wa Chadema na kuelekea naye Kituo cha Polisi Msimbazi alikokaa kwa muda mfupi kabla ya ...
Zaidi ya vifungio 95 vinavyoshikilia mataluma ya reli katika kipande cha miundombinu hiyo Moshi-Arusha, mkoani Kilimanjaro ...
Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, umezinduliwa mradi katika sekta ya elimu wa Dola za Marekani 3.6 milioni sawa na ...
Mchengerwa ameonya wabunge wasipende kutumia majukwaa kufanya kiki za kisiasa na kuacha kuhukumu kwa jazba kwani, Tamisemi ...
Watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) wamegundua dawa ya asilia yenye uwezo wa kuzuia nywele ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results