MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Namungo 'Wauaji wa Kusini' dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, imemalizika kwenye Uwanja wa Majaliwa Lindi, huku kukiwa hakuna mbabe ...
HAKUNA kitu cha kushangaza sana kuhusu Morice Abraham. Mashabiki wa Simba wanashangaa kuhusu kipaji chake. Kiungo maridadi ...
BEKI, Harry Maguire amefichua kwamba wakati anazaliwa jina lake lilikuwa jingine kabisa, lakini alilazimika kulibadilisha kwa sababu ya kushangaza.
MASTAA wa Simba wapo mapumzikoni baada ya kukamilisha mechi tatu za Ligi Kuu Bara kibabe kwa kuifumua JKT Tanzania kwa mabao ...
KIUNGO, Scott Mctominey ameitaka timu yake anayochezea Napoli kwenda kuvamia Manchester United kunasa huduma ya Kobbie Mainoo ...
YANGA imempiga KMC Kireno kwa kuichapa mabao 4-1 ikiishusha Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara angalau kwa wiki kadhaa ...
KOCHA, Ruben Amorim amekiri kuwa ni mwenye bahati kuendelea kuwapo kwenye benchi la ufundi la Manchester United kutokana na ...
MAMBO yamezidi kunoga. Matumaini ya Arsenal yalikuwa ni kuondoka kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Sunderland kwa kuzoa pointi ...
REAL Madrid inaripotiwa kuwa tayari kutumia hadi Euro 250 milioni ili kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na timu ya taifa ya ...
SIMBA imeendelea na kasi yake ya ushindi wa asilimia mia moja katika Ligi Kuu Bara baada ya jana Jumamosi Novemba 8, 2025 ...
PAMBA Jiji imeonja utamu wa kuongoza msimamo wa Ligi Kuu kwa saa mbili na ushei kabla ya kushushwa na Simba, huku kocha Francis Baraza akiwapa ujanja mastaa wa timu hiyo akitaja mambo ...
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ameigeukia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Kuwait huko Cairo Misri, akitoka kulazimishwa sare ya 1-1 na Pamba Jiji, ...