News
Kutokana na tukio hilo, ndugu wa marehemu walisusa kuuzika mwili huo kutokana na taarifa zilizokuwa zimesambaa kuwa, alikuwa ameuawa na watu wasiojulikana.
Familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya Kinondoni, Anna Hangaya, maarufu ...
Licha ya Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kuwekeza ubora wa huduma ya viungo bandia na vifaatiba saidizi, bado kuna ...
Programu zilizositishwa ni Shahada ya Elimu ya Ualimu katika Sayansi na Tehama, saikolojia, sayansi, biashara, sanaa, watu ...
Morogoro. Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) kimeanzisha programu sita za shahada za kufundishia walimu masomo ya amali ...
Wataalamu wengi wanakubali kwamba upweke hutokea unapohisi hali ya uhusiano wako binafsi na watu wengine uko chini kuliko vile unavyotamani uwe, jambo linalosababisha ujihisi huna thamani.
Baadhi ya wamiliki na wafanyakazi wa saluni za kike na kiume mkoani Arusha wamelalamikia kutozwa kodi na tozo mbalimbali ambazo nyingine wamekuwa hawana uelewa nazo, makadirio ya kodi ...
Katika kipindi hiki cha kupokea watalii wengi, amesema wametoa mafunzo kwa waongoza watalii zaidi ya 1,000 nchini, ikiwa ni ...
Wakati matumizi ya nishati safi ya kupikia yakiendelea kupigiwa chapuo katika taasisi zenye watu zaidi ya 100, Kibasila ...
Wadau wa elimu wakiwamo wazazi na walezi wameshauri kuwapo mpango wa Taifa wa kuwasaidia wanafunzi wanaotoka familia ...
Wamiliki wa mabasi na malori nchini Tanzania wameitaka Serikali kufanya marekebisho ya haraka katika sheria wanazozitaja “za ...
Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 20.3 kutoka Mbagala hadi Gerezani, ilijengwa na Kampuni ya Sinohydro kutoka China na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results